Tangazo la Nafasi za Masomo ( Bachelor Degree, Masters na PHD ...

34 downloads 361 Views 127KB Size Report
Page 1 of 27. DIPONEGORO JOURNAL OF ACCOUNTING Volume 03, Nomor 03, Tahun 2014, Halaman 1. http://ejournal-s1.undip.ac.i
ST. AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA P.O BOX 307, MWANZA, TANZANIA

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya: • Shahada ya Kwanza (Bachelor Degree) • Shahada ya Uzamili (Masters) • Shahada ya Uzamivu (PhD) Kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 10 mwaka 2017

UNDERGRADUATE PROGRAMMES: 1. Bachelor of Business Administration 2. Bachelor of Science in Procurement and Supply Chain Management 3. Bachelor of Science in Tourism 4. Bachelor of Arts in Mass Communication 5. Bachelor of Arts in Public Relations and Marketing 6. Bachelor of Arts in Sociology 7. Bachelor of Arts in Economics

8. Bachelor of Arts in Philosophy 9. Bachelor of Philosophy with Education 10. Bachelor of Arts in Religious Studies 11. Bachelor of Science in Electrical Engineering 12. Bachelor of Science in Civil Engineering 13. Bachelor of Laws 14. Bachelor of Arts with Education

POSTGRADUATES PROGRAMMES: 1. 2. 3. 4. 5. 6.

Master of Sociology, Master of Laws Master of Education Management and Planning Master of Higher Education Management and Development Master of Arts in Linguistic Master of History Master of Business Administration

1. 2. 3. 4. 5.

Postgraduate Diploma in Accountancy and Finance Master of Arts in Economic Master of Arts in Mass Communication Doctor of Philosophy in Mass Communication Doctor of Philosophy in Law

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI: Maombi yote yatumwe moja kwa moja chuoni katika ofisi ya msajili. Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi tembelea tovuti yetu: www.saut.ac.tz Au wasiliana nasi kwa anuani: Ofisi ya Msajili Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania S.L.P: 307 MWANZA, Tanzania Tel: 028 29 81186, 028 29 81187 Mob +255 744 509 110 +255 769 759 622 Email: [email protected]

Programu hizi pia zinapatikana katika Kampasi za Arusha na Mbeya